Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

JS Saoura FC waanza kuwachunguza Simba, wahofia wingi wa mashabiki Taifa, CAF Champions League

Tuesday 01-01-2019 09:00:02pm Bongo5


Wapinzani wa Simba kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika, klabu ya JS Saoura inayoshiriki ligi kuu ya Algeria maarufu kama League Professionelle 1 imeonekana kama kuanza kuwachunguza wawakilishi wa Tanzania Wekundu wa Msimbazi kabla ya kuwakabili tarehe 11/1/2019. Kupitia mtandao wao wa kijamii wa Facebook miamba hiyo ya soka ya Algeria, JSsaoura imeanza kuposti baadhi …The post JS Saoura FC waanza kuwachunguza Simba, wahofia wingi wa mashabiki Taifa, CAF Champions League appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E