Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai athibitisha, Mwigulu Nchemba kupata ajali (+picha)

Wednesday 13-02-2019 09:00:03pm Bongo5


Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amethibitisha kuwa Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba amepata ajali eneo la Mtera, akitokea Iringa kwenda Dodoma. Kwa mujibu wa Azam tv, Katibu huyo wa Bunge, Stephen Kagaigai amethibitisha hilo mara baada Mwigulu na dereva wake kuwepo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma kwa matibabu. Taarifa za awali zinasema kuwa …The post Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai athibitisha, Mwigulu Nchemba kupata ajali (+picha) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E