Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Kauli ya kwanza ya Msanii Maua Sama baada ya kutolewa mahabusu kwa Dhamana

Thursday 27-09-2018 09:00:02am Bongo5


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Maua Sama ameweza kufunguka na kueleza jinsi alivyopitia katika kipindi kigumu akiwa mahabusu. Maua Sama alikamatwa na Polisi wiki mbili zilizopita kwa tuhuma za kuidhihaki pesa ya Tanzania kwa kupost video inayoonesha watu wakizichezea pesa za kitanzania. Juzi tarehe 25 Maua Sama na mtangazaji wa CloudsFm Soudy Brown waliachiwa …The post Kauli ya kwanza ya Msanii Maua Sama baada ya kutolewa mahabusu kwa Dhamana appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E