Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Kauli ya Utabaki kuwa juu, Juu Kileleni, yafika Bungeni

Tuesday 02-04-2019 09:00:05am Bongo5


Usemi wa mchekeshaji Pierre Likwidi ‘utabaki kuwa juu, ‘juu kileleni’, umeibuka Bungeni wakati wa vikao vya bajeti ambavyo vimeanza Jijini Dodoma. Leo kikao kilianza kwa kipindi cha maswali na majibu kwa Wizara ya Maji ambapo Naibu Waziri, Juma Aweso alitumia usemi maarufu wa Pierre. Majibu ya Naibu Waziri yalitokana na swali lililoulizwa na Mbunge wa …The post Kauli ya Utabaki kuwa juu, Juu Kileleni, yafika Bungeni appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E