🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 01-08-2018 09:00:02pm Bongo5
Kiongozi wa Chama cha Upinzani cha MDC nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa ametangaza kushinda uchaguzi uchaguzi mkuu nchini humo kabla ya matokeo ya uchaguzi huo kutangazwa rasmi na tume ya uchaguzi. Chamisa kupitia ukurasa wake wa Twitter jioni ya leo amesema anawashukuru watu wote waliompigia kura kwani wamefanikisha yeye kushinda uchaguzi huo na kwa matokeo hayo …The post Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe atangaza kushinda urais kabla ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E