🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 12-07-2018 09:00:01pm Bongo5
Klabu ya KMC imefanikiwa kumsajili kiungo, Abdul Hillary Hassan kwa kandarasi ya mwaka mmoja akitokea nchini Kenya. Hillary Hassan ni kiungo mshambuliaji raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 23 na kupata bahati ya kuchezea klabu ya African Lyon msimu wa mwaka 2014-16 kabla ya kutimkia Kenya mwaka 2017. Akiwa nchini Kenya,  Abdul Hillary Hassan amechezea klabu .The post Kiungo wa Tusker FC, Abdul Hillary Hassan atua klabu ya KMC appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E