Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kimepinduka na kuzama chainuliwa 

Thursday 27-09-2018 09:00:02pm Bongo5


Kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kimepinduka na kuzama kichwa chini, kimeinuliwa nakuwa wima kama kilivyokuwa hapo awali kabla ya ajali. Zoezi hilo la kukinasua kivuko hicho  kilichonasa katika Ziwa Victoria Septemba 20,2018 limekuwa na mafanikio makubwa baada ya vikosi vya uokoaji kufanikiwa kukinyanyua na kuonyesha taswira halisi ya kivuko hicho. MV Nyerere ambayo imepata ajali juma …The post Kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kimepinduka na kuzama chainuliwa  appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E