Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Kocha mkuu wa Simba Patrick Aussems, awapiga mkwara wachezaji wake kuelekea mchezo wa jumapili

Friday 23-08-2019 09:00:03am Bongo5


Katika kuhakikisha wanapata matokeo mazuri, kocha mkuu wa Simba, Patrick Aussems, ameonyesha hataki utani baada ya kuwataka wachezaji wake kuwa makini na wasipoteze mipira kirahisi. Simba wanajiandaa na mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya UD Songo ya Msumbiji Jumapili Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mchezo wa raundi ya kwanza uliochezwa mjini …The post Kocha mkuu wa Simba Patrick Aussems, awapiga mkwara wachezaji wake kuelekea mchezo wa jumapili appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E