🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Friday 12-10-2018 09:00:02pm Swahili Times
Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara anashikiliwa na Polisi kwa kusambaza taarifa za kutekwa kwa Mfanyabiashara Mohammed Dewji katika mitandao ya kijamii, kwa madai ametumwa na familia jambo ambalo sio kweli. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha kushikiliwa kwa Manara ambapo ameeleza kuwa, uchunguzi dhidi yake utafanyika. “Manara tunamshikilia kwa uchunguzi zaidi yeye amekuwa akisambaza taarifa mbalimbali za tukio hili kwenye mitandao ya kijamii kwa madai kuwa ametumwa na familia, lakini sio kweli, hajatumwa na familia hivyo tunamshikilia,†amesema Kamanda Mambosasa. Akizungumza na wanasimba jana kuhusu tukio la kutekwa kwa Mo Dewji, Manara alisema kwamba . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E