Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Kuwa makini: Utapeli mpya wa ku-swap laini za simu unavyofanyika

Saturday 21-07-2018 09:00:01pm Swahili Times


Kwa Watanzania wote wanaoutumia simu za mkononi, hii ni kwa ajili yenu na naomba uwe makini uisome habari hii na kuielewa. Huu ni wizi mpya wa kutumia teknolojia ambao umeingia mjini kwa kitaalamu wanauita “Swim Swap Fraud” na kuna baadhi ya watu katika eneo letu la Afrika Mashariki tayari wameshalizwa. Jinsi unavyofanya kazi 1 Mtandao kwenye simu yako unapotea ghafla, unaona imeandika “No Signal au Zero Bars” halafu baada ya muda unaona simu inaingia. 2 Hiyo namba iliyokupigia simu unakupa huifahamu na inaweza kuwa ya mtandao wowote Tigo/Airtel/Halotel/TTCL/Vodacom na kadhalika kutegemea unatumia mtandao upi ambao muda huo sasa ndio unakuwa . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E