🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 23-10-2018 09:00:02pm Bongo5
Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole leo Oktoba 23, 2018 amekutana na Wasanii wa filamu na Bongo Fleva kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakumba kwenye kazi zao. Akizungumzia juu ya tukio hilo, RC Makonda amesema kuwa na yeye alialikwa kwenye kikao hicho kujadili changamoto hizo. Hata hivyo, kikao hicho kilichofanyika kwa siri katika Hoteli …The post Kwa niaba ya CCM: Polepole akutana na wasanii wa Bongo Fleva na Filamu kujadili changamoto zao (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E