🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 13-07-2018 09:00:01pm Bongo5
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Lady JayDee amekutana kwa mara ya kwanza uso kwa uso na aliyekuwa mume wake, Gardner G. Habash kwenye msiba wa mke wa mtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds Fm. Wote wawili walipeana mikono na kisha kumfariji mfiwa mapema mchana wa leo nyumbani kwa Kibonde maeneo ya Riverside.The post Lady JayDee na Gardner G. Habash wakutanishwa na msiba wa mke wa Ephraim Kibonde appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E