Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Lampard ashtua ulimwengu baada ya kutangaza kumsajili rafiki yake Ashley Cole mwenye umri wa miaka 38

Saturday 19-01-2019 09:00:03pm Bongo5


Ashley Cole amekubali kupokea kitita cha pauni 15,000 kwa wiki kujiunga na klabu ya Derby County  inayonolewa na rafiki yake, Frank Lampard ili kuisaidia timu hiyo kufanya vema kwenye ligi ya Championship nchini Uingereza. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 38, ameshtua ulimwengu wa soka baada ya kutangazwa kurejea kwenye soka la ushindani la Uingereza …The post Lampard ashtua ulimwengu baada ya kutangaza kumsajili rafiki yake Ashley Cole mwenye umri wa miaka 38 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E