Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Lifahamu jengo refu zaidi Afrika mashariki na kati lililojishindia tuzo Ujerumani

Monday 18-02-2019 09:00:04pm Bongo5


Jumba refu la Britam Tower lililopo jijini Nairobi nchini Kenya limepokea tuzo inayopewa majumba marefu duniani ya Emporis Skyscraper Award. Ni jumba la pekee barani Afrika kushiriki katika tuzo hiyo miongoni mwa majumba 10 bora duniani katika historia ya tuzo hiyo ya miaka kumi na tisa. Kwa mujibu wa BBC, Hatua hiyo inalifanya jumba hilo …The post Lifahamu jengo refu zaidi Afrika mashariki na kati lililojishindia tuzo Ujerumani appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E