🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 15-08-2019 09:00:04pm Bongo5
Watu wawili mume na mke wakazi wa Kijiji cha Kilimanjaro, Kata ya Mtumbya mkoani Lindi, Shafii Selemani na Liuza Shafii wamenusurika kifo kufuatia nyumba yao kuteketea kwa moto uliochangiwa na mafuta aina ya Petroli. Kwa mujibu  wa baadhi ya majirani waliojitokeza kusaidia kuzima moto huo bila mafanikio, wameeleza kuwa moto huo ulichangiwa na mafuta aina …The post Lindi: Dereva bodaboda alipukiwa na mafuta ya petroli akiwa ndani ya nyumba na mke wake appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E