🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 19-08-2018 09:00:01am Bongo5
Karibia Ligi Kubwa zote barani Ulaya tayari zimeshaanza msimu mpya wa mwaka 2018/19 na jana usiku tulishudia Ligi Kuu Soka Hispania (La Liga) na Ligi Kuu Soka Italia (Serie A) zikianza kutimua vumbi. Mchezo wa kusisimua wa La Liga ulikuwa ni kati ya Barcelona dhidi ya Deportivo Alaves. Mchezo ambao ulimalizika kwa Barcelona kushinda goli 3-0 …The post Lionel Messi na Kylian Mbappe waamsha dude barani Ulaya, Ronaldo awavutia pumzi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E