🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Monday 20-08-2018 09:00:02pm Swahili Times
Kumekuwa na uvumi mwingi mitaani kuhusiana na samaki pweza, ambaye daima hupatikana baharini na kwingineko kujulikana pia kwa jina la utani la ‘paka bahari’. Wengine huwanasibisha pweza na masuala ya kishirikina kutokana na muonekano wake wa kiwiliwili kidogo na rundo la mikia. Uchunguzi uliofanywa kupitia mahojiano maalumu na madaktari kutoka taasisi kadhaa zikiwamo za Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam umethibitisha kuwapo kwa faida takribani tisa za supu ya pweza mwilini mwa mwanadamu, hususan kwa wale walio katika ndoa na kina mama wanyonyeshao. Katika . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E