🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 17-06-2019 09:00:03am Bongo5
Mamia kwa maelfu ya wakaazi wa Hong Kong, wengi wakivalia nguo nyeusi licha ya hali ya hewa ya joto,waliingia mitaani Jumapili (16.06.2019)katika kuonyesha upinzani wao wa dhati wa sheria kuwapeleka wahalifu China. Sheria hiyo inayopendekezwa imezusha hofu ya kupanuliwa udhibiti wa serikali ya mjini Beijing katika koloni hilo la zamani la Uingereza. Kwa mujibu wa shirika la habari la DW, Waandamanaji wanadai kwamba kiongozi wa Hong Kong aufute kabisa mswada …The post Maandamano makubwa tena Hong Kong appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E