🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 28-08-2019 09:00:03pm Bongo5
Fundi seremala ambaye mkono wake ulibaki ukining’inia kati ya ngozi na mfupa baada ya kupata ajali mbaya ya kukatwa na msumeno wa umeme amefanikiwa kufanyiwa upasuaji wa kuungwa mkono huo. Anthony Lelliott, mwenye umri wa miaka 46, mkono wake wa kushoto ulikuwa karibu kukatika wote katika sehemu mbili wakati alipokuwa anakata bodi ya sakafu kwa …The post Madaktari wa upasuaji, waunganisha mkono wa fundi seremala uliokatwa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E