🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 19-09-2018 09:00:02pm Bongo5
Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye pia ni baba mlezi wa mwanamuziki Dogo Janja, Madee Ali amekanusha tetesi za kuvunjika ndoa ya Janjaroo na mke wake Irene Uwoya na kudai taarifa zinazosambazwa mitandaoni hazina ukweli wowote. Akizungumza na EATV Madee na kusema yeye mwenyewe anachangazwa na taarifa hizo kuzagaa mitandaoni, kwa watu kuongea masuala …The post Madee anyoosha maelezo ishu ya Dogo Janja kuachwa na Irene Uwoya appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E