Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Maelfu ya wanaume waliyokuwa nusu utupu wawania fimbo ya bahati Japan

Monday 18-02-2019 09:00:02am Bongo5


Maelfu ya wanaume waliokuwa nusu uchi wanagombania fimbo mbili katika tamasha lililofanyika Japan. Kwa mujibu wa Shirika la habari la BBC, Wanaume elfu kumi waliovalia vinguo vyeupe walishiriki katika sherehe katika nyumba maalum. Washiriki walipambana kwenye maji ili kutafuta fimbo ambazo zilikuwa zimerushwa katika umati wa watu. Wale waliopata fimbo zenye urefu wa sentimita 20, …The post Maelfu ya wanaume waliyokuwa nusu utupu wawania fimbo ya bahati Japan appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E