Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Majibu ya CAF baada ya kuwachunguza waamuzi wanne wa Tanzania

Thursday 02-08-2018 09:00:02pm Swahili Times


Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa (CAF) limetoa majibu ya uchunguzi wa waamuzi wanne wa Tanzania waliofikishwa kwenye Shirikisho hilo kufuatia kuripotiwa kwa vurugu kwenye hoteli waliyofikia nchini Burundi walipokwenda kuchezesha mechi ya Ligi ya Mabingwa Africa. Waamuzi waliokuwa wakichunguzwa kuhusishwa na ripoti ya mchezo huo kati ya Lydia Ludic ya Burundi na Rayon ya Rwanda ni Soud Idd Lila, Frank John Komba, Mfaume Ali Nasoro na Israel Mujuni. Ilidaiwa kuwa katika hoteli waliyofikia kulitokea vurugu kwa madai kuwa moja ya timu hizo mbili ilitaka kupanga matokeo kupitia waamuzi hao. CAF katika taarifa yake iliyosainiwa na Katibu Mkuu Amr Fahmy . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E