Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Majibu ya Kisheria: Ni kweli Mwanaume akiishi na mwanamke muda mrefu wanakuwa wameoana?

Friday 07-12-2018 09:00:02am Swahili Times


Unaweza kuwa na maswali mengi juu ya wapenzi (mwanamke na mwanaume) wanaoishi pamoja kwa kipindi fulani au hata muda mrefu zaidi pasipo kuwa wanandoa. Moja ya swali ni msimamo wa sheria ya ndoa juu ya wapenzi hao. Je, sheria inatambua mahusiano hayo? Pia ni namna gani unaweza kuthibitisha mahakamani dhana hii? nafuu gani/zipi za kisheria zilizopo baina ya wapenzi hao baada ya kuachana (mahusiano yao kuvunjika)? Na maswali mengine kama hayo. Muandishi makala hii amejaribu kwa kiasi kikubwa kufafanua dhana ya ndoa kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya mwaka 1971. Dhana ya ndoa yaani “presumption of marriage” kama jinsi maneno yalivyo, . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E