🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Friday 03-08-2018 09:00:02pm Swahili Times
Safari ni jambo linalohitaji maandalizi, hasa safari ya kwenda nchi nyingine. Watu wengi hujikuta wakiingia kwenye matatizo mbalimbali kutokana na kutokufahamu mambo ya kuzingatia kabla ya safari. Ikiwa umeshasafiri, au ni mara yako ya kwanza kusafiri kwenda nchi nyingine, basi karibu nikushirikishe mambo 17 ya kuzingatia kabla ya kusafiri kwenda nchi nyingine. 1. Hakiki muda wa mwisho wa pasi yako ya kusafiria Kama una pasi ya kusafiria, hakikisha muda wake wa matumizi haujakaribia kwisha. Hakikisha pia kurasa zilizo wazi hazijakaribia kwisha. Kumbuka kuwa baadhi ya nchi haziruhusu watu kuingia au kutoka kwa kutumia pasi za kusafiria zilizobakiza muda wa miezi . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E