Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Manchester United yakamilisha usajili wa mlindalango wa Stoke

Wednesday 04-07-2018 09:00:02pm Bongo5


Aliyekuwa mlindalango wa klabu ya Stoke, Lee Grant amekamilisha usajili wa kutua Manchester United kwa dili la miaka miwili. Grant mwenye umri wa miaka 35 alionekana juzi siku ya Jumatatu kwenye viunga vya Carrington kwaajili ya kufanyiwa vipimo vya afya ili kukamilisha usajili huo wa dau la pauni milioni 1.5. Stoke ipo kwenye mazungumzo na Adam Federici .The post Manchester United yakamilisha usajili wa mlindalango wa Stoke appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E