Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Marin Cilic ashindwa kutamba mbele ya Guido Pella michuano ya Wimbledon 

Thursday 05-07-2018 09:00:01pm Bongo5


Mchezaji tennis, Marin Cilic ameyaaga mashindano ya Wimbledon leo siku ya Alhamisi baada ya kushindwa kuvumilia kipigo kutoka kwa Muargentina, Guido Pella. Cilic ambaye alitarajiwa makubwa kwenye mashindano haya ya Wimbledon baada ya kushinda taji la Fever Tree Championships huko Queen’s Club ameshindwa kuepukana na kichapo hicho. Mbosnia huyo amekubali kipicha jumla ya seti 3-6 1-6 .The post Marin Cilic ashindwa kutamba mbele ya Guido Pella michuano ya Wimbledon  appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E