Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mashabiki wamshusha Davido jukwaani nchini Namibia, wahuni wamvua saa na viatu (+video)

Sunday 12-08-2018 09:00:01pm Bongo5


Jana usiku msanii wa muziki kutoka Nigeria, Davido amejikuta akishushwa jukwaani na mashabiki wake waliokuwa wamepagawa na show yake jukwaani kunako uwanja wa mpira wa Sam Nujoma. Davido ambaye alipanda Jukwaani na msanii mwenzie kutoka Nigeria, RunTown alijikuta akivutwa na mashabiki wake huku walinzi wa show hiyo wakijitahidi kumchomoa kutoka kwa mashabiki hao. Tayari imeripotiwa …The post Mashabiki wamshusha Davido jukwaani nchini Namibia, wahuni wamvua saa na viatu (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E