🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 02-03-2019 09:00:03pm Bongo5
Msanii wa muziki Alikiba ni mmoja kati ya wasanii aliohudhuria ibada ya mwisho ya kumuaga mwili wa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba aliyefariki Jumanne wiki hii huko nchini Afrika Kusini. Muimbaji Alikiba ni mmoja kati ya wasanii ambao walihudhuria shughuli hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam. …The post Mastaa wa muziki wamlilia Ruge, Alikiba aingia kimya kimya (Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E