Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Maulid Kitenge amshushia ushauri Diamond ‘Wakenya wanataka uimbe na sio uwaimbishe na Playback, jipange’

Wednesday 02-01-2019 09:00:03pm Bongo5


Mtangazaji maarufu wa habari za michezo hapa Tanzania, Maulid Kitenge ametoa ushauri wake kwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kufuatia show yake aliyoifanya kwenye tamasha la Wasafi Festival nchini Kenya. Kitenge ametoa maoni hayo kwenye ukurasa wake wa Twitter, ambapo amemtaka Diamond awamu ya pili akienda Kenya atumie muda mwingi kuimba kuliko …The post Maulid Kitenge amshushia ushauri Diamond ‘Wakenya wanataka uimbe na sio uwaimbishe na Playback, jipange’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E