🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 06-01-2019 09:00:03pm Bongo5
Mawaziri Watano wa Rais Magufuli wakiongozwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina wametembelea katika misitu ya vijiji mbalimbali wilayani Kasulu mkoani Kigoma kwa lengo la kutatua migogoro ya ardhi. Waziri Mpina amesema Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, haiwezi kushindwa kutatua migogoro ya wafugaji na watumiaji …The post Mawaziri watano wa Rais Magufuli watinga msituni Kigoma kutatua kero za wananchi (video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E