🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 01-01-2019 09:00:02am Bongo5
Pambano la Bondia wa Marekani Floyd Mayweather na ‘kickboxer’ mwenye umri wa miaka 20 Tenshin Nasukawa lililofanyika usiku wa kuamkia mwaka mpya limeweza kumuingizia Mayweather kiasi cha Dola milioni 9. Pambano hilo limeingiza kiasi hicho cha fedha ndani ya dakika 2 tu alizozitumia Mayweather kupigana na Nasukawa ambapo Mayweather aliweza kushinda pambano hilo (KO). Baada …The post Mayweather awapiga dongo 50 cent na McGregor baada ya ushindi wake dhidi ya Nasukawa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E