🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 15-04-2019 09:00:03pm Bongo5
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, imemteua Dkt. John Danielson Pallangyo kuwa mgombea wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki. Awali Tume ya Uchaguzi ilitangaza uchaguzi mdogo wa marudio kuwa utafanyika mwezi Mei 19, 2019. Jimbo la Arumeru Mashariki lilikuwa wazi baada ya aliekuwa Mbunge wake, Joshua Nassari kuvuliwa ubunge …The post Mbele ya Rais Magufuli, CCM yafanya uteuzi wa mgombea ubunge jimbo la Arumeru appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E