Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mbowe ajibu tuhuma za Mbunge aliyehama Chadema kwa madai alitelekezwa

Friday 12-10-2018 09:00:02pm Bongo5


Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amekanusha taarifa zilizotolewa na aliyekuwa Mbunge wa chama hicho katika jimbo la Ukerewe kuwa chama hicho kilimtelekeza wakati wa msiba wa ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV. Nyerere, akidai kuwa chama hicho kilimpatia rambirambi mbunge huyo. Mbunge Joseph Mkundi aliandika barua kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano …The post Mbowe ajibu tuhuma za Mbunge aliyehama Chadema kwa madai alitelekezwa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E