Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mbunge Msukuma aiomba serikali iupe hadhi ya Jiji mkoa wa Geita, Waziri Mkuu amjibu ombi lake (+video)

Sunday 17-03-2019 09:00:02pm Bongo5


Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku almaarufu kama Msukuma leo Jumapili Machi 17, 2019 amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuifikiria Manispaa ya Geita kupewa hadhi ya Jiji kutokana na kukusanya mapato mengi kuliko makadirio. Musukuma ameyasema hayo wakati akihutubia kwenye sherehe za ufunguzi wa soko la kimataifa la madini mkoani Geita, ambapo Waziri Mkuu alikuwa …The post Mbunge Msukuma aiomba serikali iupe hadhi ya Jiji mkoa wa Geita, Waziri Mkuu amjibu ombi lake (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E