Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mchezaji wa Manchester United atoa shukrani zake kwa Wakenya

Thursday 23-08-2018 09:00:02pm Bongo5


Kiungo wa klabu ya Manchester United kutoka nchini Uingereza Nemanja Matic ametoa shukrani zake kwa mashabiki wake kutoka nchini Kenya. Kiungo huyo raia wa Serbia ametoa shukrani zake kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa mashabiki hao kutoka nchini Kenya baada ya daladala moja kutoka nchini humo kuchora picha ya kiungo huyo,huku pembeni yake kukiwa na …The post Mchezaji wa Manchester United atoa shukrani zake kwa Wakenya appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E