🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 05-03-2019 09:00:03am Bongo5
Mchungaji Alph Lukau wa Afrika Kusini ambaye alitikisa dunia kwa habari ya kufufua mtu, ameomba radhi wananchi kwa kufanya tukio ambalo limekuwa msumari kwake. Akizungmza na kituo cha redio cha Power FM cha Afrika Kusini, Mchungaji Lukau amesema kwamba mtu ambaye alionekana akimfufua, alikuwa hajafa kama ilivyosemwa, hivyo anaomba radhi kwa kutosema ukweli tangu awali. …The post Mchungaji wa SA aliyedai kafufua mtu aomba radhi ‘alikuwa hajafa na hajawahi hata kuwa mochwari’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E