Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mfahamu msomi mwenye shahada sita, aliyefariki bila ajira nchini Kenya

Monday 05-08-2019 09:00:02am Bongo5


Msomi na mwanasiasa wa Kenya Dr Reuben Savai, 70, ambaye jaribio lake la kuwania kiti cha urais mwaka 1997 na 2002 lilitibuka amefariki. Mwanawe wa kiume Daniel Lihanda amenukuliwa na Gazeti la Daily Nation nchini Kenya, akithibitisha kifo chake siku ya Jumapili. Licha ya kuwa na shahada sita na cheti cha diploma, mwanasiasa huyo mwenye …The post Mfahamu msomi mwenye shahada sita, aliyefariki bila ajira nchini Kenya appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E