Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mfalme wa Thailand amuoa mlinzi wake na kutawazwa kuwa Malkia

Thursday 02-05-2019 09:00:03pm Bongo5


Taarifa kutoka ndani ya ufalme wa Thailand zimesema kuwa, Mfalme Maha Vajiralongkorn ameamuoa kumuoa Naibu Mkuu wa kikosi cha walinzi wake na kupewa cheo cha malkia. Habari hizo za kushitukiza zimetolewa huku sherehe za kutawazwa kwake zikitarajiwa kuanza siku ya Jumamosi wakati atakapochukua wadhfa wake. Taarifa kutoka kwenye ufalme huo zimesema ”Mfalme Vajiralongkorn ameamua kumpandisha …The post Mfalme wa Thailand amuoa mlinzi wake na kutawazwa kuwa Malkia appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E