🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 27-08-2019 09:00:03pm Bongo5
Mfanyabiashara Hamis Said(38), anayekabiliwa na kesi ya mauaji, ameiomba Mahakama apatiwe fedha zake zaidi ya Shilingi Milioni 5. Ameieleza Mahakama ya Kisutu kuwa fedha hizo zipo kwenye laini zake mbili za simu ya mkononi(Airtel na Tigo) na anahitaji ili zimsaidie kwa matumizi yake na familia ikiwemo kumlipia mwanaye karo ya shule. Baada ya kuwasilisha ombi …The post Mfanyabiashara aliyemuua mkewe na kumchoma moto, aiomba mahakama impatie fedha zake appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E