🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Thursday 06-12-2018 09:00:02pm Swahili Times
Dar es Salaam: Mali za mfanyabiashara maarufu Afrika, Yusuf Manji zipo hatarini kupigwa mnada ya Benki ya Biashara ya Maendeleo Afrika Mashariki na Kusini, endapo bilionea huyo atashindwa kulipa madeni anayodaiwa na benki hiyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana Disemba 5, 2018  na wafisili na wakabidhi wasii waliopo chini ya Kampuni ya Price Water House Coopers (PWC), imeeleza kuwa, kuanzia jana, mfanyabiashara huyo hataruhusiwa kumiliki mali hizo hadi atakapolipa madeni hayo, na sasa zimewekwa chini ya David Tarimo na Nelson Msuya. Mameneja hao wawili wameteuliwa na benki hiyo kuweza kukusanya madeni yote kutoka kwa Manji, na endapo atashindwa kulipa, mali zake . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E