🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Monday 24-12-2018 09:00:02am Swahili Times
Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ameipongeza serikali kwa kuja na utaratibu mpya wa kuendesha kikokotoo cha mafao ya watumishi na kuongeza kuwa, kikokotoo hicho kinatatua changamoto kubwa ya maisha ya watumishi wengi baada kustaafu. Prof Jonathan Kabigumila ambaye ni mtaalamu wa sayansi asilia amesema kuwa, kuna mambo mawili ambayo ni vyema watu wakayaelewa wakati mjadala wa kikokotoo kipya cha mafao ukiendelea kushika kasi nchini. Jambo la kwanza ni kumlipa mstaafu hela nyingi kwa mkupuo mmoja (Lump sum), na kisha awe na malipo kidogo kila mwezi, na jambo la pili kutoa kiasi cha kawaida kwa mkupuo, huku mtu akilipwa . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E