Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mhe. Mbowe na Esther Matiko washinda rufaa dhidi ya DPP, warudishwa mahabusu

Friday 01-03-2019 09:00:02pm Bongo5


Mahakama ya Rufaa imetupilia mbali rufani ya DPP ya kupinga Mahakama Kuu kusikiliza rufani ya kupinga Freeman Mbowe na Esther Matiko kufutiwa dhamana. Mhe. Mbowe na Matiko Mahakama ya Rufaa imeagiza jalada la kesi lirejeshwe Mahakama Kuu kwa ajili ya kuendelea kusikiliza maombi ya washtakiwa ya kutenguliwa dhamana yao.Jopo la majaji limesema rufaa ya DPP …The post Mhe. Mbowe na Esther Matiko washinda rufaa dhidi ya DPP, warudishwa mahabusu appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E