🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 14-07-2018 09:00:02am Bongo5
Mfanyabiashara, Chidi Mapenzi ambaye ni mume wa ndoa wa muigizaji, Shamsa Ford amefunguka kwa kudai kwamba yeye na mke wake huyo huwa hawafikiagi hatua ya kugombana kwani akigundua amemkwaza mwenzake huwa anajishusha chini na kuomba msamaha. Chidi amekanusha kwamba penzi lao lipo hatarini kuvunjika huku akidai kwa sasa wapo vizuri na wanafurahia maisha yao. “Mimi .The post Mimi na mke wangu Shamsa hatugombani, nikimkosea najishusha tu – Chidi Mapenzi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E