Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Miss Rwanda 2019 azua gumzo mitandaoni, Waliowengi wasema hakustahili (+video)

Tuesday 29-01-2019 09:00:03am Bongo5


Mshindi wa shindano la Miss Rwanda 2019, Nimwiza Meghan amezua gumzo nchini humo baada ya watu mitandaoni kutoridhishwa na maamuzi ya majaji wa shindano hilo. Nimwiza Meghan Kabla ya shindano hilo, kufanyika wikiendi iliyopita, mlimbwende Josianne Mwiseneza ndiye aliyekuwa akipigiwa upatu na watu mitandaoni kwani ngozi yake na ushujaa wa kutoka kijijini hadi mjini kuwania …The post Miss Rwanda 2019 azua gumzo mitandaoni, Waliowengi wasema hakustahili (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E