Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mkuu wa Wilaya amsweka rumande dereva wake, kisa rushwa ya Tsh. milioni 1

Friday 22-03-2019 09:00:11am Bongo5


Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, amelitaka jehi la polisi, kumkamata dereva wake na mmiliki mmoja wa kiwanda wilayani humo kwa tuhuma za kutaka kumpa hongo ya Tsh milioni 1. Lengai Ole Sabaya Imeelezwa kuwa wawili hao walikamatwa juzi na kupelekwa mahabusu kituo cha polisi cha Bomang’ombe wilayani Hai na kwamba …The post Mkuu wa Wilaya amsweka rumande dereva wake, kisa rushwa ya Tsh. milioni 1 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E