🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 25-01-2019 09:00:03pm Bongo5
Klabu ya Simba imetolewa kwenye michuano ya SportPesa Super Cup kwa kukubali kipigo cha goli 2-1 dhidi ya Bandari FC kutoka Kenya. Simba ndio walikuwa wa kwanza kupata goli kupitia kwa Kagere kunako kipindi cha kwanza na magoli yote ya Bandari FC yamefungwa kipindi cha pili. Matumaini ya Watanzania kwa sasa yamebakia kwa Mbao FC …The post Mnyama ‘Simba SC’ achinjwa Taifa na Bandari FC, matumaini ya Watanzania yabakia kwa Mbao FC appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E