🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 24-03-2019 09:00:03pm Bongo5
Imeripotiwa kuwa chumba kimoja cha ofisi kilichopo ndani ya jengo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (JNIA) kwenye  jengo la Terminal 3, kimeungua kwa moto ambao bado chanzo hakijajulikana. Akidhibitisha taarifa hizo, Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto JNIA, Maria Kulaya amesema kuwa, tukio hilo lilitokea jana jioni baada ya moto …The post Moto wateketeza chumba ndani ya Uwanja wa ndege Dar, Jeshi la zimamoto lazungumza kuhusu ajali hiyo appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E