Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mrisho Ngasa ‘Uncle’ aibeba Yanga mbele ya Azam FC, wazidi kujikita kileleni mwa ligi

Monday 29-04-2019 09:00:03pm Bongo5


Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Yanga hii leo imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1 – 0 dhidi ya waoka mikate Azam FC mchezo uliyopigwa kwenye uwanja wa Uhuru Dar es salaam. Vinara hao wa ligi kuu Yanga SC wamepata bao lao dakika ya 13 kupitia kwa nyota wake …The post Mrisho Ngasa ‘Uncle’ aibeba Yanga mbele ya Azam FC, wazidi kujikita kileleni mwa ligi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E