Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

‘Mrithi’ wa Tundu Lissu aapishwa rasmi kuwa mbunge wa Singida Mashariki (+video)

Tuesday 03-09-2019 09:00:03am Bongo5


Miraji Mtaturu, kutoka Chama Cha Mapinduzi, CCM, ameapishwa rasmi hii leo siku ya Jumanne kuwa mbunge wa Singida Mashariki. Mtaturu anachukua kiti hicho cha ubunge ambacho awali kilishikiliwa na Tundu Lissu aliyevuliwa ubunge wake na Spika Job Ndugai mnamo Juni 28 mwaka huu baada ya kupoteza sifa za kuwa mbunge.The post ‘Mrithi’ wa Tundu Lissu aapishwa rasmi kuwa mbunge wa Singida Mashariki (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E