Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Mtanzania akamatwa Indonesia akiwa na dawa za kulevya kilo 1 tumboni (Picha)

Tuesday 12-02-2019 09:00:02pm Bongo5


Raia mmoja wa Tanzania aliyetambulika kwa jina la Abdul Rahman Asman anadaiwa kukamatwa Bali nchini Indonesia akiwa na dawa za kulevya alizokuwa amemeza tumboni. Maofisa katika Uwanja wa Ndege wa Bali wameliambia Shirika la Habari la AFP kuwa Mtanzania huyo alikamatwa Januari 30, 2019. Wamesema alipopekuliwa alibainika alikuwa amemeza dawa hizo ambazo hata hivyo hazikufafanuliwa …The post Mtanzania akamatwa Indonesia akiwa na dawa za kulevya kilo 1 tumboni (Picha) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E